Watu mbalimbali wakiwa wamelizunguka jenereta leo usiku
Mwanamuziki kutoka DRC-Congo,JB Mpiana akitumbuiza jukwaani mara baada
ya kupanda mnamo majira ya saa tisa kasoro,baada ya hitilafu za umeme
kwenye jenerata kurekebishwa.
"HIT BACK" Ni hadithi ya wanandugu
watatu (three brothers) STANLEY MSUNGU, YUSUPH MLELA na HEMED SULEIMAN,
ambao hawakujuana kabla kutokana na mazingira ya makuzi yao, japo wawili
kati yao (STANLEY MSUNGU na HEMED SULEIMAN) wanajua lakini wanamficha
mwenzao kwa sababu