Saturday, December 1, 2012
Thursday, November 29, 2012
Wednesday, November 28, 2012
Tuesday, November 27, 2012
WASANII WAJIANDAA KUELEKEA TANGA KWA MAZISHI YA SHARO MILIONEA.
Wasanii wa filamu Tanzania wajiaandaa kusafiri kuelekea Tanga leo jioni mara tu baada ya kwisha mzika msanii mwenzao aliyefariki jumamosi John S. Maganga baada ya kuugua tumbo la ghafla na atazikwa makaburi ya kinondoni leo jioni.
Monday, November 26, 2012
Imethibitishwa:sharo millionea Aaaga dunia kwa ajari ya Gari muda mfupi huko Tanga
Kuna habari kwamba SHARO MILIONEA AMEFARIKI KWA AJALI YA GARI HUKO MUHEZA. ~ Source Channel Ten TV na channel 5 ambapo Blog ya Bajomba bado inaendelea kupata Update ya Taarifa ya kifo kilichotokea huko Muheza Tanga
Sunday, November 25, 2012
BONGO MOVIE WAJIPANGA KUCHAGUA VIONGOZI WAPYA
Bongo Movie inatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wake ambao wataweza kuliongoza gurudumu la filamu kusonga mbele zaidi kutokana na kuwepo na taarifa kuwa viongozi waliopo ni wabinafsi na wanajinufaisha wenyewe.
Kwa mujibu wa katiba ya Bongo Movie viongozi hukaa madarakani kwa mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mpya ambapo viongozi waliopita huruhusiwa kugombea tena.
“Kwanza sisi tuna katiba yetu ambayo inaendesha klabu yetu kwahiyo katiba yetu moja ya vipengele ni namna ya uchaguzi, uongozi unakaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja kwahiyo inapofika lazima sheria ifuatwa ndio maana tunafanya uchaguzi mwishoni mwa mwezi huu na kikao cha kujadili uchaguzi huo utafanyia wapi tutajadili Jumanne tarehe 20 wiki ijayo, “mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi ya Bongo Movie ya uchaguzi Jimmy mafufu
Msanii mwingine wa Bongo Movie aliaga Dunia Huyu Hapa.Unakumbuka movie ya Mrembo Kikojozi.
KWA HABARI zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa msanii muigizaji ambaye anatambulika kwa jina la John Stephano amefariki dunia asubui ya kuamkia leo akiwa amelazwa katika hospitali ya muhimbili kwa ajili ya matibabumsanii
Friday, November 23, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)










