Imethibitishwa:sharo millionea Aaaga dunia kwa ajari ya Gari muda mfupi huko Tanga
Kuna
habari kwamba SHARO MILIONEA AMEFARIKI KWA AJALI YA GARI HUKO MUHEZA. ~
Source Channel Ten TV na channel 5 ambapo Blog ya Bajomba bado inaendelea kupata Update ya Taarifa ya kifo kilichotokea huko Muheza Tanga
TUNAENDELEA KUWAPA UPDATE
No comments:
Post a Comment