Tuesday, November 27, 2012

WASANII WAJIANDAA KUELEKEA TANGA KWA MAZISHI YA SHARO MILIONEA.



Wasanii wa filamu Tanzania wajiaandaa kusafiri kuelekea Tanga leo jioni mara tu baada ya kwisha mzika msanii mwenzao aliyefariki jumamosi John S. Maganga baada ya kuugua tumbo la ghafla na atazikwa makaburi ya kinondoni leo jioni.
Wasanii wataondoka leo jioni kuelekea Tanga kuungana na wanafamilia kumzika msanii mwenzao Sharo milionea hapo kesho.

No comments:

Post a Comment